Lugha Nyingine
Manowari?Fujian ya China yakamilisha majaribio ya kwanza baharini
Saa tisa mchana ya Mei 8, Manowari ya tatu ya kubeba ndege ya China, Manwoari Fujian imekamilisha majaribio ya kwanza baharini kwa siku nane na kurudi bandari ya kiwanda cha Uzalishaji wa Meli cha Jiangnan huko Shanghai.
Manowari Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza ya baharini(picha iliyopigwa Mei 7 na droni). (Mpiga picha:Ding Ziyu/Xinhua)
Wakati wa majaribio hayo, Manowari ya Fujian ilimaliza majaribio ya mifumo ya injini na ya umeme na vifaa vingine, na kupata matokeo yaliyotarajiwa. Katika hatua inayofuata, manowari hiyo itaendelea na majaribio mengine kulingana na mipango iliyowekwa.
?Manowari ya Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza baharini(picha iliyopigwa Mei 1 na droni). (Mpiga picha:Pu Haiyang/Xinhua)
?Manowari ya Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza baharini(picha iliyopigwa Mei 1 na droni). (Mpiga picha:Pu Haiyang/Xinhua)
Manowari ya Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza baharini(picha iliyopigwa Mei 1 na droni).(Mpiga picha:Pu Haiyang/Xinhua)
Manowari ya Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza baharini(picha iliyopigwa Mei 3 na droni).(Mpiga picha:Li Yun/Xinhua)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma