Lugha Nyingine
Sanxingdui: Kutana na uzuri wa ustaarabu wa miaka 4,000 iliyopita
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2024
“Matunda ya kiakiolojia ya eneo la kihistoria la Sanxingdui yanajulikana Duniani, yakionesha mafanikio ya ustaarabu wa miaka 4,000 iliyopita, na yakitoa uthibitisho dhabiti wa kiakiolojia kwa uanuai na ufungamani wa wa ustaarabu wa China, pamoja na ushawishi wa ustaarabu wa kale wa eneo la Shu na ustaarabu wa Uwanda wa Kati wa China.” alisema Xi Jinping alipotembelea Jumba jipya la Makumbusho ya Sanxingdui mwezi Julai, 2023.
Magofu ya Sanxingdui yaliyopo Mkoa wa Sichuan wa China yanawakilisha kiwango cha maendeleo ya ustaarabu wa eneo la Shu wa maelfu ya miaka iliyopita.
Hivi karibuni waandishi wa habari wa People’s Daily Online walitembelea Guanghan, Mkoa wa Sichuan wa China ili kuelewa ustaarabu wa kale wa eneo la Shu.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma