Lugha Nyingine
Liangzhu: Mwanga wa ustaarabu wa zaidi ya miaka 5000 waonekana
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2024
“Magofu ya Liangzhu ni ushuhuda halisi wa historia ya ustaarabu ya zaidi ya miaka 5000 ya China, pia ni hazina ya ustaarabu wa dunia.” Rais Xi Jinping alipotumia barua ya pongezi kwa“Baraza la Liangzhu”la kwanza alidhihirisha hii, Desemba Mwaka 2023.
Magofu ya Mji wa Kale wa Liangzhu yako kwenye Eneo la Yuhang la Mji wa Hangzhou katika Mkoa wa Zhejiang, ambayo ni kiini cha mamlaka na imani kwa utamaduni wa Liangzhu.
Siku za hivi karibuni, waandishi wa habari wa People's Daily Online wametembelea huko Liangzhu wakitafuta mwanga wa ustaarabu wa zaidi ya miaka 5000 iliyopita.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma