超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Ndege kubwa ya China ya kupaa na kutua nchi kavu na majini AG600 yaanza majaribio?ya uthibitishaji wa uwezo

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2024

AG600M, ndege ya zima moto inayojulikana kwa jina la "Kunlong," ikifanya onyesho la kudondosha maji kwenye Maonyesho ya 14 ya Kimataifa ya Vyombo vya Usafiri wa Anga na Anga ya Juu ya China mjini Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Novemba 11, 2022. (Xinhua/Hong Zehua)

BEIJING - Ndege kubwa ya kupaa na kutua nchi kavu na majini ya AG600 iliyoundwa kwa kujitegemea na China imeingia katika kipingi cha majaribio ya uthibitishaji wa uwezo wa usafiri angani rasmi, kiwanda cha kutengeneza ndege cha China (AVIC) limetangaza siku ya Jumanne.

Siku ya Jumanne, Kituo cha uthibitishaji wa uwezo wa Usafiri wa Anga cha Idara ya Usafiri wa Anga ya China kilitoa idhini ya Ukaguzi wa Aina (TIA) kwa modeli ya kwanza ya ndege hiyo ya AG600, imesema AVIC, kiwanda cha kutengeneza ndege cha China.

Hatua hiyo ina maana kwamba hali ya ufungaji mifumo mbalimbali ya ndege hiyo, uwezo wake tarajiwa wa usafiri katika hali mbalimbali za hewa na ufanisi tarajiwa wa usalama umekidhi mahitaji ya TIA. Pia inaweka msingi imara kwa ndege hiyo ya AG600 kukamilisha uthibitishaji wa uwezo wa usafiri katika hali mbalimbali za hewa, imesema AVIC.

Kabla ya kupata idhini hiyo ya TIA, ndege nne za aina ya AG600, zilizotumiwa kwa safari za angani za majaribio, zilitumwa kufanya majaribio ya kuthibitisha uwezo wa usafiri katika hali mbalimbali za hewa.

Familia hiyo ya ndege kubwa ya kupaa na kutua nchi kavu na majini ya AG600 inaundwa kuwa sehemu ya vifaa muhimu vya kisasa vya safari ya anga ili kuimarisha uwezo wa uokoaji wa dharura nchini China.

Ndege ya zima moto ya AG600M ikichota maji kwenye majaribio ya kuchota na kudondosha maji mjini Jingmen, Mkoa wa Hubei, katikati ya China, Septemba 27, 2022. (Xinhua/Wu Zhizun)

Ndege ya zima moto ya AG600M ikichota maji kwenye majaribio ya kuchota na kudondosha maji mjini Jingmen, Mkoa wa Hubei, katikati ya China, Septemba 27, 2022. (Xinhua/Wu Zhizun)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha