超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Miradi ya nishati safi ya China yatarajiwa kuchochea?maendeleo barani Afrika

(CRI Online) Septemba 09, 2024

Ripoti iliyotolewa na chombo cha Shirika la Habari la Ujerumani, Deutsche Welle inasema, miradi ya nishati safi inakuwa muhimu zaidi katika uhusiano wa kiuchumi kati ya China na Afrika, huku biashara kati ya pande hizo mbili ikishuhudia ukuaji endelevu katika miongo miwili iliyopita.

Kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika wiki iliyopita mjini Beijing, China ilitangaza mipango ya kutekeleza miradi 30 ya nishati safi barani Afrika ili kuunga mkono maendeleo ya kijani ya bara hilo. Zaidi ya hayo, China itatoa uungaji mkono zaidi wa kifedha wa dola za kimarekani bilioni 50.8 kwa nchi za Afrika katika miaka mitatu ijayo.

Kwa mujibu wa Deutsche Welle, mipango hiyo inatarajiwa kutoa nafasi mpya za ajira zaidi ya milioni moja katika nchi za Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha