超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Rais Xi aongoza Kongamano la kuhimiza kikamilifu uhifadhi wa ikolojia na maendeleo ya sifa bora ya eneo la Mto Huanghe

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2024

Mchana wa Septemba 12, Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akiongoza kongamano la kuhimiza kikamilifu uhifadhi wa ikolojia na maendeleo ya sifa bora ya eneo la Mto Huanghe na kutoa hotuba muhimu. (Xinhua/Ju Peng)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) mchana wa Septemba 12, ameongoza kongamano la kuhimiza kikamilifu uhifadhi wa ikolojia na maendeleo ya sifa bora ya eneo la Mto Huanghe na kutoa hotuba muhimu.

Rais Xi amesisitiza kutekeleza kwa makini misingi ya Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC na mkutano wa pili wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya CPC, na kuelewa na kutekeleza vizuri matakwa ya kimkakati ya kuweka mkazo katika uhifadhi na muhimu zaidi ni usimamizi, na kuchukua fursa ya kuendeleza zaidi kwa kina mageuzi kuwa msukumo wa kazi, kushikilia kutoa kipaumbele kwa uhifadhi wa ikolojia na maendeleo ya kijani, kushikilia kuchukua hatua kulingana na hali ya maji na kutoa kipaumbele kwa kubana matumizi ya maji, kushikilia kufanya kazi kwa kufuata hali halisi ya sehemu zenye tofauti, kutunga mpango na kuchukua hatua kwa aina mbalimbali, na kushikilia kutunga mpango wa jumla na kuhimiza kazi ziendelee kwa uratibu, ili kuhimiza uhifadhi wa ikolojia uendelee kwenye ngazi mpya katika eneo zima la mtiririko wa Mto Huanghe, kupata maendeleo mapya katika mabadiliko ya muundo wa kijani, kufikia matokeo mapya katika maendeleo ya sifa bora, kuboresha zaidi maisha ya watu, na kuanzisha hali mpya katika ulinzi wa ikolojia na maendeleo ya sifa bora katika eneo la Mto Huanghe.

Mchana wa Septemba 12, Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akiongoza kongamano la kuhimiza kikamilifu uhifadhi wa ikolojia na maendeleo ya sifa bora ya eneo la Mto Huanghe na kutoa hotuba muhimu. (Xinhua/Xie Huanchi)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha