超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Wanadiplomasia wa nchi za Kiarabu watembelea Fujian, Kusini Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2024

Mabalozi na wanadiplomasia wa nchi za kiarabu nchini China wakitembelea Jumba la Makumbusho ya Mambo ya Bahari la Quanzhou mjini Quanzhou, Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China, Desemba 1, 2024.   (Xinhua/Wei Peiquan)

Hivi karibuni mabalozi na wanadiplomasia 19 wa nchi za kiarabu nchini China walitembelea Mkoa wa Fujian. Ukiwa Mkoa wa Fujian uko kwenye sehemu ya mwisho ya mashariki ya Njia ya Hariri ya Baharini, mkoa huo umetumia nguvu zake bora za kipekee katika utekelezaji wa pamoja wa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) na kupata matokeo mengi mazuri katika ujenzi wa eneo la kiini la Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21.?

Mabalozi na wanadiplomasia wa nchi za kiarabu  nchini China wakifahamishwa mbinu za utengenezaji wa vinyago vya uso , ambazo ni urithi wa utamaduni usioshikika wa kienyeji, katika jumba la makumbusho ya urithi wa utamaduni usioshikika la Quanzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Desemba 1, 2024. (Xinhua/Wei Peiquan)

Mabalozi na wanadiplomasia wa nchi za kiarabu  nchini China wakiwa wamepanda basi la kujiendesha katika kampuni ya King Long United Automotive Industry ya Xiamen mjini Xiamen, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Novemba 30, 2024. (Xinhua/Wei Peiquan)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha