Lugha Nyingine
Mji wa Zhengzhou warudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 25, 2021
Tarehe 23, Agosti, madaktari wanadunga chanjo kwa mkazi katika kituo cha huduma ya afya cha eneo moja la makazi huko Zhengzhou. (Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China, Xinhua.) |
Idara ya hali ya hewa ilisema, hivi sasa mvua kubwa iliyonyesha huko Zhengzhou imeisha. Tarehe 23, makao makuu ya uongozi wa kazi ya kupambana na maafa ya mafuriko na ukame iliamua kuwa, kuanzia saa tisa mchana tarehe 23, Agosti, mji huo umeanza kurudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha kwa utaratibu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Aina nane maarufu zaidi za maua ya Yunnan hakika kuna moja inayokushangaza zaidi
Korongo wacheza kwenye uwangja wa juu hali ya viumbe yaendelea vizuri mkoani Tibet
Rasilimali ya utamaduni yasukuma mbele ujenzi wa kijiji cha kupendeza cha Luquan mjini Shijiazhuang
Mji wa Zhengzhou warudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma