Lugha Nyingine
Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022?waanza kuoneshwa Mkoa wa Hei Longjiang (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 06, 2022
Siku hiyo, shughuli ya kuonesha Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 ilifanyika katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Hei Longjiang. Baada ya kumalizika kwa shughuli hiyo, Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi utaoneshwa katika Miji ya Daqing na Qiqihar kwa mfululizo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma