超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Jumba la China lang'ara katika Maonesho ya Kimataifa ya Dubai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 08, 2022
Jumba la China lang'ara katika Maonesho ya Kimataifa ya Dubai
Haya ni maonesho ya taa ya siku ya Jumba la China kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya Dubai. Picha hii ilipigwa Januari 11, 2022.

Maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya Dubai yalifungwa Machi 31 jioni na Jumba la maonesho la China ambalo jina lake ni “mwanga wa China” pia lilifungwa rasmi. Kwa mujibu wa habari, Jumba la China ni moja ya majumba maarufu kabisa kwenye Maonesho hayo ya Kimataifa ya Dubai na lilipokea watembeleaji zaidi ya milioni 1.76 wakati wa maonesho hayo. Pia lilijenga na kuendesha kwa mara ya kwanza “Jumba la China kwenye mtandao” na limevutia kwa jumla watu milioni 1.45 kutazama kwenye mtandao.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha