Lugha Nyingine
Watu wa Afghanistan warudi nyumbani baada ya tetemeko kubwa la ardhi wakiona nyumba zilizoharibiwa (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2022
Juni 23 kwa saa za huko, mtoto akisimama mbele ya nyumba iliyoharibiwa katika eneo linaloathiriwa na tetemeko la ardhi la Mkoa wa Paktika, Afghanistan. |
Habari zilisema kuwa , hadi sasa tetemeko hilo la ardhi limesababisha vifo vya watu zaidi ya elfu moja, wengine elfu kadhaa walijeruhiwa, na nyumba 10,000 hivi zilibomoka.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma