超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Watu wateleza kwenye mawimbi na kufurahia mandhari nzuri ya Wanning, Hainan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2022
Watu wateleza kwenye mawimbi na kufurahia mandhari nzuri ya Wanning, Hainan

Katika Ghuba ya Riyue ya Wanning mkoani Hainan, watalii wanateleza kwenye mawimbi baharini na kufurahia wakati mzuri wa majira ya joto. Katika miaka ya hivi karibuni, michezo ya kuteleza kwenye mawimbi imeenea sana, na watalii wengi zaidi wanakuja Wanning, Hainan ili kujifunza michezo hiyo na kujiburudisha kwa furaha kwenye bahari.

Kutokana na hali nzuri ya kijiografia na ya hali ya hewa, michezo ya kuteleza kwenye mawimbi baharini imekuwa kivutio kwenye utalii wa Wanning. Wanavijiji wengi wameanza kufanya biashara katika utoaji mafunzo ya kuteleza kwenye mawimbi baharini, kuendesha migahawa na hoteli, na wamepata manufaa kutokana na maendeleo ya shughuli zao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha