Lugha Nyingine
Ukame watokea kwenye sehemu nyingi za Uingereza katika majira ya joto (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2022
Picha iliyopigwa Agosti 14, 2022 ikionesha mto uliokauka karibu na chanzo cha Mto Thames, Kusini Magharibi mwa Mji Mdogo wa Cirencester, Uingereza. |
Ukame katika sehemu nyingi za Uingereza ulitangazwa Ijumaa ya wiki iliyopita, ambapo kuna wimbi jipya la joto na hali kavu ya hewa ya muda mrefu. (Picha ilipigwa na Tim Ireland/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma