超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Mapacha wa simba wachanga walioachwa na mama yao wakua vizuri (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2022
Mapacha wa simba wachanga walioachwa na mama yao wakua vizuri
Picha ikionesha mmoja wa mapacha wa simba wachanga wa Afrika huko Chongqing, China. (ChinaDaily/Wang Chengjie)

Mapacha wa simba wachanga wa Afrika walioachwa na mama yao punde tu baada ya kuzaliwa kwao, hivi sasa wana hali nzuri ya afya.

Mapacha hawa wa kike wanaoitwa na watu kuwa “Rourou” na “Tuantuan” walizaliwa kwenye Bustani ya Lejia ya Chongqing mwezi uliopita. Mama yao ni simba mzee, ambaye alikataa kuwalea watoto wake. Mapacha hao wenye njaa walipelekwa kwenye kituo cha uokoaji, kuzaliana na kutunza cha bustani na kulewa na wafanyakazi huko.

Mhuduma Chen Wei alisema, uzito wa wachanga umezidi kwa maradufu, ukiongezeka kutoka kilogramu 3 hadi 6.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha