Lugha Nyingine
Hafla ya kupandisha bendera kuadhimisha miaka 73 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China yafanyika
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 01, 2022
BEIJING - Hafla ya kupandisha bendera kuadhimisha miaka 73 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China imefanyika kwenye Uwanja wa Tian'anmen, mjini Beijing, China leo Jumamosi, Oktoba Mosi. Hafla hiyo iliyopambwa na gwaride maalumu la kijeshi imehudhuriwa na viongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), viongozi wa Serikali na wageni mbalimbali wa ndani na nje ya China.
Jamhuri ya Watu wa China ilianzishwa rasmi Oktoba Mosi, 1949.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma