超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Pilikapilika za kuvua chaza Fujian (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2022
Pilikapilika za kuvua chaza Fujian
Oktoba 22, meli ya kuvua chaza ikifanya kazi katika eneo la bahari la Mji wa Sansha, Wilaya ya Xiapu, Mkoa wa Fujian (Picha na droni).

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Xiapu ya Mkoa wa Fujian imekuza kwa nguvu sekta ya ufugaji wa chaza baharini, ambapo eneo la ufugaji wa chaza limefikia hekta 4002 ya Mwaka 2022 kutoka hekta 333.5 ya Mwaka 2020.

(Mpiga picha: Jiang Kehong/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha