Lugha Nyingine
Mavuno ya mahindi yawezesha majengo ya jadi kuwa majengo ya “dhahabu” huko Nanjing, Fujian (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2022
Tarehe 29, Novemba, mwanakijiji akianika mahindi kwenye majengo ya jadi katika Kijiji cha Meilin cha Mji wa Meilin wa Wilaya ya Nanjing ya Mji wa Zhangzhou. |
Mwanzoni mwa majira ya baridi, Kijiji cha Meilin cha Mji Mdogo wa Meilin wa Wilaya ya Nanjing ya Mji wa Zhangzhou kilikaribisha kipindi cha mavuno ya mahindi, wanakijiji walitumia hali nzuri ya hewa kuanika mahindi. Katika miaka ya hivi karibuni, Mji mdogo wa Meilin wa Wilaya ya Nanjing ukitegemea hali yake nzuri ya kijioglafia umeeneza kwa nguvu upandaji wa mahindi ili kuhimiza ustawishaji wa kijiji kwa kupitia ya mafanikio ya kilimo hicho.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma