超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

“Maonyesho ya Sanaa ya Mikono ya Utarizi wa Hariri wa Suzhou ya Gwiji Mkuu Gu Wenxia” yafunguliwa Suzhou (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2022
“Maonyesho ya Sanaa ya Mikono ya Utarizi wa Hariri wa Suzhou ya Gwiji Mkuu Gu Wenxia” yafunguliwa Suzhou
(Picha/vip.people.com.cn)

Hivi karibuni, “Maonyesho ya Sanaa ya Mikono ya Utarizi wa Hariri wa Suzhou ya Gwiji Mkuu Gu Wenxia” yalifunguliwa kwenye Jumba la Makumbusho la Suzhou. Maonyesho hayo yameonyesha sanaa murua za mikono ya utarizi wa hariri wa Suzhou zenye uwakilishaji zilizofanywa na Gwiji mkuu Gu Wenxia (mwaka 1931- mwaka 2022) , ambaye ni mrithi wa sanaa za utarizi wa hariri wa Suzhou kwenye mradi wa kwanza wa urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa na Gwiji mkuu wa sanaa wa China. Maonyesho hayo yanaleta uhondo kwa watembezi kufurahia ustadi murua wa kushangaza wa sanaa ya mikono ya utarizi wa hariri wa Suzhou. (Picha/Wang Jiankang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha