Lugha Nyingine
Xi Jinping aongoza Mkutano wa Kwanza wa Viongozi Wakuu wa China na Nchi za Asia ya Kati na kutoa Hotuba Kuu (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 20, 2023
Rais Xi Jinping wa China ameongoza mkutano wa kwanza wa viongozi wakuu wa China na Nchi za Asia ya Kati huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China na kutoa hotuba kuu yenye kichwa cha "Kuungana Mikono ili Kujenga Jumuiya ya China na Nchi za Asia ya Kati yenye Mustakabali wa Pamoja unaojumuisha Kusaidiana, Maendeleo ya Pamoja, Usalama wa Wote, na Urafiki kutoka Vizazi hadi Vizazi", Mei 19, 2023. Baada ya mkutano huo, Xi Jinping na viongozi wakuu wa nchi tano za Asia ya Kati walipanda kwa pamoja miti sita ya mikomamanga, ambayo siyo tu kwamba imeshuhudia milenia ya mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Nchi za Asia ya Kati, lakini pia ni ishara ya mshikamano na ushirikiano wa karibu kati ya China na Nchi za Asia ya Kati, na inaweka matumaini kwenye mustakabali mzuri wa uhusiano wa China na Nchi za Asia ya Kati. (Liu Bin/ Xinhua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Habari Picha: Mandhari ya maeneo yanayozunguka Mto Bahe katika Mji wa Xi'an, China
Katika Picha: Watu wakivuna matunda ya bluberi katika Kijiji cha Wengbao, Mkoa wa Guizhou wa China
Habari Picha: Ndege wakionekana Lhasa, huko Tibet, Kusini Magharibi mwa China
Katika Picha: Tazama mandhari ya Mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma