Lugha Nyingine
Xi Jinping asisitiza maendeleo yasiyochafua mazingira wakati wa ukaguzi wa Mongolia ya Ndani
Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) hivi karibuni alipofanya ukaguzi katika Mongolia ya Ndani alisisitiza kuwa, ni lazima kushikilia nafasi ya kimkakati ya Mongolia ya Ndani iliyopangwa na Kamati Kuu ya Chama, kutekeleza kikamilifu, kwa usahihi na kwa pande zote wazo jipya la maendeleo, kuhimiza bila kulegalega kazi kuu ya kwanza ya kujipatia maendeleo ya hali ya juu, kuweka mkazo katika kazi mbili za maendeleo na usalama, kutoa kipaumbele kwa ulinzi wa mazingira ya asili na kuelekea kupata maendeleo yasiyochafua mazingira, kushiriki na kuhudumia kwa hamasa ujenzi wa muundo mpya wa maendeleo, na kufanya juhudi za kuandika sura mpya ya Mongolia ya Ndani ya maendeleo ya kisasa yenye umaalumu wa China.
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma