超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Daraja kubwa lenye muundo wa upinde linalopita genge lenye kina kirefu katika Mji wa Hefeng, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2023
Daraja kubwa lenye muundo wa upinde linalopita genge lenye kina kirefu katika Mji wa Hefeng, China
Picha hii iliyopigwa tarehe 25, Juni, ikionesha Daraja Kuu la Mto wa Loushui ambalo linaendelea kujengwa huko Hefeng, Mkoa wa Hubei, China. (Picha hii imepigwa kwa droni)

Daraja Kuu la Mto wa Loushui liko katika Wilaya ya Hefeng, Mkoani Hubei, katikati mwa China. Daraja hilo ni mradi wa udhibiti wa msongamano wa magari kwa ajili ya sehemu ya mashariki ya Barabara Kuu ya Yidu-Laifeng. Urefu wake ni mita 328 na linapita kwenye genge lenye kina cha urefu wa zaidi ya mita 300. Sasa hivi, wajenzi wanafanya kazi ya upandishaji wa nguzo za chuma na kazi hiyo inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Juni. (Picha na Yang Shunpi/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha