超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Panda "Ganggang" aishi kwa kupuliziwa ubaridi na kiyoyozi ili kupoza joto kali la majira ya joto (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2023
Panda
Panda "Ganggang" akila mianzi kwenye nyumba ya panda katika Bustani ya Wanyama ya Anshan, Mkoani Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China, Tarehe 26, Juni.

Siku hizi, hali ya hewa ya Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China inaendelea kuwa ya joto sana. Chini ya uangalizi wa wafugaji, panda "Ganggang" mwenye umri wa miaka mitano anayekaa katika Bustani ya Wanyama ya Anshan, mkoani humo anapoza hali joto kali kwa kutumia kiyoyozi huku akifurahia kula mianzi, matunda, karoti, asali n.k ili kujiweka katika mazingira ya baridi katika majira hayo ya joto kali. (Picha na Yao Jianfeng/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha