超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Picha: Treni inayopitia shamba zuri la Maua ya Rape (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2023
Picha: Treni inayopitia shamba zuri la Maua ya Rape
(Picha ilipigwa na Xu Hengming.)

Hivi karibuni, maua ya rape kwenye shamba lenye ukubwa wa zaidi ya mu 10,000 (sawa na hekta 666.7) katika wilaya ya Shandan ya Mji wa Zhangye chini ya Mlima Qilian wa China yamechanua vizuri. Mandhari ya treni inayopitia kwenye shamba hilo kubwa la maua ya rape ni nzuri sana na huleta furaha kwa watu.

Reli hiyo ya Lanzhou-Xinjiang ina urefu wa kilomita 1,786, ikiunganisha mji wa Lanzhou wa Mkoa wa Ningxia na mji wa Urumqi wa Mkoa wa Xinjiang. Reli hiyo ndefu zaidi katika reli zilizojengwa kwa mara moja duniani husifiwa na watalii kuwa “reli nzuri zaidi”.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha