超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Mandhari ya Hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia ya Milima ya Altun katika Mkoa wa Xinjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2023
Mandhari ya Hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia ya Milima ya Altun katika Mkoa wa Xinjiang, China
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Oktoba 18, 2023 ikionyesha Ziwa Ayakum kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia ya Milima ya Altun iliyoko katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Li Xiang)

Ikiwa na urefu wa wastani wa mita 4,580, Hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia ya Milima ya Altun iliyoko katika Mkoa wa Xinjiang, inachukua eneo lenye jumla ya kilomita za mraba 45,000.

Hifadhi hiyo ni mwakilishi wa mfumo wa ikolojia wa uwanda wa jangwa nchini China na ni nyumbani kwa aina nyingi za wanyama adimu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha