超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Watu watoa heshima kwa marehemu kabla ya siku ya Qingming katika Mji wa Beijing, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2024
Watu watoa heshima kwa marehemu kabla ya siku ya Qingming katika Mji wa Beijing, China
Watu wakiweka maua kuomboleza marehemu kwenye sehemu moja ya makaburi ya mjini Beijing, Aprili 2, 2024. (Xinhua/Ju Huanzong)

Siku ya Qingming ya mwaka huu, ambayo ni Siku ya Kufagia Makaburi, itaanzia kote nchini China siku ya Alhamisi wiki hii. Ni siku ya jadi kwa Wachina kutoa heshima kwa marehemu na kuwaabudu mababu zao.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha