超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Uchumi wa usiku wa China washamiri katika maeneo mbalimbali (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2024
Uchumi wa usiku wa China washamiri katika maeneo mbalimbali
Wenyeji na watalii wakitembelea soko la usiku huku wakionja chakula kitamu, kutazama maonyesho, na kuhisi uhai wa uchumi wa usiku katika mitaa mitatu na vichochoro viwili vya Mji wa Kale wa Yongzhou huko Nanning, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, China, jioni ya Aprili 20, 2024. (Picha/Zeng Xiangzhong)

Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Shuyang ya Mji wa Suqian, Mkoa wa Jiangsu, China imekuwa ikiboresha miundombinu ya michezo na kufanya mazoezi ya kujenga mwili mijini, kujenga au kukarabati na kupanua bustani kadhaa za michezo, majengo na viwanja vya michezo vya umma vya kufanya mazoezi ya kujenga mwili, na kuboresha vifaa vya kusaidia mwanga wa usiku ili kukidhi mahitaji ya wakazi ya kufanya mazoezi ya kujenga mwili wakati wa usiku.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha