超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Meli zarudi kwenye bandari kwa msimu wa kusitisha uvuvi unaokaribia nchini China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2024
Meli zarudi kwenye bandari kwa msimu wa kusitisha uvuvi unaokaribia nchini China
Tarehe 28, Aprili, mvuvi akitengeneza wavu kwenye bandari ya uvuvi ya Shenjiamen ya Mji wa Zhoushan, Mkoa wa Zhejiang wa China. (Picha/Meng Zhongde)

Kuanzia saa 6 mchana (kwa saa za Beijing), ya tarehe Mosi mwezi Mei, msimu wa kusitisha uvuvi baharini utaanza katika maeneo ya bahari ya China, yakiwemo bahari ya Bohai, bahari ya Huanghai, bahari ya Mashariki na sehemu ya bahari ya Kusini iliyopo kaskazini ya latitudo 12°N. Hivi sasa meli za uvuvi za maeneo hayo zinarudi kwa mfululizo kwenye bandari, zikifanya maandalizi kabla ya wakati ili kukaribisha msimu wa kusitisha uvuvi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha