超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Eneo la kujionea?na kujaribu ana kwa ana teknolojia za kisasa la Mkutano wa 7 wa China ya Kidijitali lafunguliwa Fujian

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 24, 2024
Eneo la kujionea?na kujaribu ana kwa ana teknolojia za kisasa la Mkutano wa 7 wa China ya Kidijitali lafunguliwa Fujian
Mtembeleaji (Kulia) akijaribu mfumo wa kuendesha gari kwa usambamba kwa mbali kwenye eneo la kujionea na kujaribu ana kwa ana teknolojia za kisasa la Mkutano wa 7 wa China ya Kidijitali huko Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini-Mashariki mwa China, Mei 23, 2024. (Xinhua/Wei Peiquan)

Mkutano wa 7 wa China ya Kidijitali utafanyika Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini-Mashariki mwa China kuanzia leo Mei 24 hadi 25. Eneo la kujionea na kujaribu ana kwa ana teknolojia za kisasa la Mkutano huo, linalochukuka eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 56,000, likijumuisha sehemu kuu tano, limefunguliwa katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Fuzhou Strait siku ya Alhamisi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha