超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Watu wa China wanaouza aina mpya sana za vitu vya kauri katika mji mkuu wa kauri wa miaka elfu (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 30, 2024
Watu wa China wanaouza aina mpya sana za vitu vya kauri katika mji mkuu wa kauri wa miaka elfu
Watalii wakichagua vyombo vya kauri wanavyopenda katika Soko la Ubunifu la Jingdezhen Taoxichuan, Mei 26. (Picha na Shi Yu, People's Daily Online)

Siku ya Jumapili, Mei 26, usiku ulipoingia, mara hali motomoto imeonekana kwenye Mtaa wa Utamaduni na Ubunifu ya Taoxichuan mjini Jingdezhen, Mkoa wa Jiangxi wa China taratibu.

Kiwanda cha zamani cha vyombo vya kauri kilichotelekezwa sasa kimekuwa alama ya kitamaduni ya mji huo. Huko Taoxichuan, utamaduni wa kauri wenye historia ya miaka elfu moja na usanifu na ubunifu wa kisasa vimeunganishwa na kuwa na hali ya mafungamano, mahali pa mkusanyiko wa sanaa, uleaji na ukuzaji wa ndoto, na hatua kubwa ya maisha...

Mwandishi wa habari amejionea sehemu nyingi za waendeshaji wa biashara kwenye vibanda hivyo ni vijana wa "Jingpiao" ambao ni watu waliotoka sehemu nyingine wanaoendeleza shughuli zao huko Jingdezhen, au wanafunzi kutoka vyuo vya kati na vyuo vikuu vya mji huo. Kwa sasa, kuna zaidi ya "Jingpiao" 60,000 katika Mji wa Jingdezhen, ikiwa ni pamoja na "Jingpiao wa kigeni" zaidi ya 5,000. Soko la Taoxichuan ndicho kituo cha kwanza kwa safari nyingi za "Jingpiao".

Ili kuwezesha kila mtu kufuata na kutimiza ndoto zao vizuri zaidi mjini Jingdezhen, Jingdezhen imeanzisha "Hatua za Kuhimiza Vipaji vya Wajasiriamali wa "Jingpiao Kuendeleza Shughuli kwa Uvumbuzi ", na kuwapa uungaji mkono wa fedha au kuwasaidia kwa njia mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha