超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Kijiji cha mjini Beijing chaendeleza utalii kwa kutegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2024
Kijiji cha mjini Beijing chaendeleza utalii kwa kutegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China
Walimu na wanafunzi kutoka Taasisi ya Beijing ya Teknolojia ya Petroli na Kemikali wakijadili utalii wa kitamaduni wa vijijini kwenye chumba cha kusoma katika Kijiji cha Shixia, Eneo la Yanqing la Beijing, Mji Mkuu wa China, Mei 31, 2024. (Xinhua/Chen Zhonghao)

BEIJING - Kijiji cha Shixia katika Eneo la Yanqing la Beijing, China kina historia tangu Enzi ya Ming ya China ya kale (1368-1644) na hapo zamani kilikuwa kituo muhimu kaskazini mwa sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa China. Kijiji hicho, ambacho kimezungukwa na milima, kimeendeleza sekta ya utalii inayotegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China katika miaka ya hivi karibuni na huvutia watalii kutoka duniani kote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha