超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Chombo kimoja kilichorudi duniani cha Chombo cha Chang'e-6 cha utafiti?wa sayari ya?mwezi chafunguliwa baada ya kuwasili Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2024
Chombo kimoja kilichorudi duniani cha Chombo cha Chang'e-6 cha utafiti?wa sayari ya?mwezi chafunguliwa baada ya kuwasili Beijing
Chombo kilichorudi duniani kikifunguliwa kwenye hafla iliyofanyika katika Taasisi ya Teknolojia ya Anga ya Juu ya China chini ya Kampuni ya Beijing ya Kundi la Sayansi na Teknolojia ya Anga ya Juu la China Juni 26, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

BEIJING - Chombo kimoja kilichorudi duniani cha Chombo cha Chang’e-6 cha utafiti wa sayari ya mwezi kimefunguliwa kwenye hafla iliyofanyika Beijing siku ya Jumatano alasiri kwenye Taasisi ya Teknolojia ya Anga ya Juu ya China chini ya Kampuni ya Beijing ya Kundi la Sayansi na Teknolojia ya Anga ya Juu la China ambapo watafiti wamefungua chombo hicho na kukagua viashiria muhimu vya kiufundi.

Watafiti wanaohusika na mfumo wa matumizi ya duniani baadaye watafanya kazi inayohusu uhifadhi, uchambuzi na utafiti wa sampuli kama ilivyopangwa.

Chombo hicho ambacho ni kimoja cha Chombo cha Chang'e-6 cha utafiti wa sayari ya mwezi kilitua siku ya Jumanne, kikileta duniani sampuli za kwanza kuwahi kukusanywa kutoka upande wa mbali wa mwezi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha