超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Kutumia droni kufanya doria misituni kwapunguza hatari za maafa huko Yichun, kaskazini mashariki mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
Kutumia droni kufanya doria misituni kwapunguza hatari za maafa huko Yichun, kaskazini mashariki mwa China
Wafanyakazi wakidhibiti droni za kufanya doria misituni kupitia mfumo wa ukaguzi wa kutumia akili mnemba kwenye chumba cha udhibiti cha Idara ya misitu ya Dailing ya Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Juni 27, 2024. (Xinhua/Wang Yiliang)

Hivi karibuni, Idara ya misitu ya Dailing ya Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China imeunganisha teknolojia ya hali ya juu ili kuimarisha usimamizi wa misitu. Kwa kutumia droni, idara hiyo imeanzisha kazi ya kufanya doria misituni kwa kutumia teknolojia ya kisasa na ya kiotomatiki, ikipunguza kwa kiasi kikubwa hatari za maafa na kuboresha ufanisi wa doria misituni.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha