超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Wanaanga wa China wa Chombo cha Shenzhou-18 wakamilisha kazi yao ya pili ya kutembea kwenye anga ya juu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2024
Wanaanga wa China wa Chombo cha Shenzhou-18 wakamilisha kazi yao ya pili ya kutembea kwenye anga ya juu
Picha hii ya skrini iliyopigwa kwenye Kituo cha Udhibiti wa Anga ya juu cha Beijing Julai 3, 2024 ikionyesha mwanaanga wa chombo cha Shenzhou-18 akiwa tayari kufungua mlango na kutoka nje ya chombo.?(Xinhua/Guo Zhongzheng)

Ofisi ya mradi wa safari ya anga ya juu ya China ilisema kuwa wanaanga wa chombo cha Shenzhou No.18 wamekamilisha kazi yao ya pili ya kutembea kwenye anga ya juu.

Hadi sada, “safari ya kazi kwenye anga ya juu” ya wanaanga wa chombo cha Shenzhou No.18 imekamilika kwa theluthi moja, baadaye watafanya majaribio ya kisayansi na kiteknolojia kwenye obiti.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha