超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China
Watu wakitembelea eneo la Shibaozhai lenye kivutio cha utalii katika Wilaya ya Zhongxian ya Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China Julai 10, 2024. (Xinhua/Huang Wei)

Kivutio cha utalii cha Shibaozhai kinaonekana kama bonsai yenye umbo la moyo iliyoko katikati ya sehemu ya Magenge Matatu ya Mto Changjiang wa China. Kwenye sehemu hiyo kuna pagoda ya mbao yenye ghorofa 12 na urefu wa mita 56 ambayo inasimama juu ya nguzo 20 na kuegemea miamba iliyo karibu na mto huo. Ujenzi wa pagoda hiyo ulianzia Enzi ya Ming (1368-1644) ya China katika zama za kale, na pagoda hiyo ni sehemu ya kivutio kikuu cha utalii kwenye eneo la Shibaozhai.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha