超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Watalii wavutiwa na utamaduni wa Dunhuang kupitia teknolojia ya kidijitali (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 23, 2024
Watalii wavutiwa na utamaduni wa Dunhuang kupitia teknolojia ya kidijitali
Watalii wakitumia vifaa vya VR kutembelea Mapango ya Mogao mjini Dunhuang, Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China, Julai 22, 2024. (Xinhua/Lang Bingbing)

Maonyesho ya kidijitali yanayotumia teknolojia ya 3D na vifaa VR yanafanyika ili kusaidia watalii kufurahia utamaduni wa Dunhuang katika Mkoa wa Gansu, Kaskazini-Magharibi mwa China.

Ikiwa ni moja ya malango muhimu ya kuingia kwenye Njia ya Kale ya Hariri, Dunhuang ni sehemu iliyopo Mapango ya Mogao, ambayo ni Eneo la Urithi wa Dunia wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) linalojivunia mkusanyiko mkubwa wa kazi za sanaa za Kibuddha.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha