超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Kuingia kwenye Kijiji cha Olimpiki cha Paris (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2024
Kuingia kwenye Kijiji cha Olimpiki cha Paris
Picha iliyopigwa tarehe 23, Julai ikionesha sehemu ya Kijiji cha Olimpiki cha Paris.

Tarehe 23, siku ya Jumanne, kamati ya maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris iliwaalika waandishi habari kutembelea kijiji cha Olimpiki cha Paris. Kijiji hicho kinachukua eneo lenye ukubwa wa hekta 52 hivi na kinapatikana kwenye kitongoji cha Kaskazini cha Paris. Majengo zaidi ya 82 na maghorofa ya makazi karibu 3,000 yamejengwa. Wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, kijiji hicho kitapokea wachezaji na wafanyakazi zaidi ya 14,000, na wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto kwa Walemavu ya mwaka huu kitapokea karibia watu 9,000.

Picha na Hu Huhu/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha