超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Teknolojia za kisasa zaonyeshwa katika Maonesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2024
Teknolojia za kisasa zaonyeshwa katika Maonesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini
Mtoto akijaribu chombo cha kujifunzia urubani kwenye Maonyesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini mjini Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China, Julai 25, 2024. (Xinhua/Wang Jingyi)

KUNMING - Maonyesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini yalifunguliwa siku ya Jumanne wiki hii mjini Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China, yakivutia waonyeshaji bidhaa zaidi ya 2,000 ambapo watembeleaji wake wanaweza kufahamishwa na kujaribu vitu mbalimbali vinavyoonyeshwa ambavyo vimeundwa kwa teknolojia za kisasa katika sekta za uchumi wa kidijitali, akili bandia, nishati ya kijani, uchumi wa nyanda za chini na nyinginezo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha