超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda
Picha iliyopigwa Agosti 8, 2024 ikionesha shamba la majaribio la nishati ya upepo la Ghuba ya Xinhua, ambako mitambo ya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa baharini iliyozalishwa kwa kujitegemea na Eneo Maalum la Viwanda vya Kuzalisha Umeme kwa Nishati ya Upepo wa Baharini la Magenge Matatu ya Fujian imefungwa huko Fuqing, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Xinhua/Jiang Kehong)

Eneo hilo maalum la viwanda, likiwa na thamani ya jumla ya uwekezaji wa Yuan bilioni 4 (Dola takriban milioni 557.7 za Kimarekani), ni eneo maalum la kwanza la viwanda vya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda hivyo nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha