Lugha Nyingine
Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa kabla ya maonyesho ya 7 ya CIIE wafanyika Shanghai (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa ya kabla ya Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) umeanza kwenye Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano cha Shangai, Mashariki mwa China. Maonyesho hayo yamepangwa kufanyika huko Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi 10 mwaka huu.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma