超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Tamasha la Sikukuu ya Nadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Tamasha la Sikukuu ya Nadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China
Watu wakitazama maonyesho kwenye hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Sikukuu ya Nadam huko Horqin Right Wing Front Banner, Ligi ya Hinggan, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Agosti 8, 2024. (Xinhua/Lian Zhen)

Katika shughuli za siku tano za Tamasha la Sikukuu ya Nadam ya watu wa kabila la Wamongolia, zitafanyika shughuli za michezo na tamasha za muziki. Shughuli za mbio za farasi, mieleka na kupiga mishale zimeanza jana Alhamisi huko Horqin Right Wing Front Banner, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha