超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

China yafaulu kurusha satalaiti 4A ya Zhongxing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 23, 2024
China yafaulu kurusha satalaiti 4A ya Zhongxing
Mnamo saa 2 na dakika 25 jioni ya Tarehe 22, Agosti, China ikitumia roketi ya uchukuzi za Changzheng No.7 imefaulu kurusha satalaiti 4A ya Zhongxing kutoka kwenye uwanja wa urushaji wa Wenchang, ambapo satalaiti hiyo imeingia bila tatizo kwenye obiti iliyopangiwa, jukumu la urushaji wa satalaiti limekamilika kwa mafanikio mazuri. (Xinhua/Du Xinxin)

Mnamo saa 2 na dakika 25 jioni ya Tarehe 22, Agosti, China ikitumia roketi ya uchukuzi ya Changzheng No.7 imefaulu kurusha satalaiti 4A ya Zhongxing kutoka kwenye uwanja wa urushaji wa Wenchang, ambapo satalaiti hiyo imeingia bila tatizo kwenye obiti iliyopangiwa, jukumu la urushaji wa satalaiti limekamilika kwa mafanikio mazuri.

Satalaiti 4A ya Zhongxing itaweza kutoa huduma za kupeleka sauti za watu, takwimu, na vipindi vya matangazo ya radio na televisheni.

Huu ni urukaji wa mara ya 532 wa roketi ya uchukuzi ya Changzheng.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha