Lugha Nyingine
China yawatunuku walimu wa mfano wa kuigwa na taasisi za elimu wakati Siku ya Walimu ikiwadia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2024
BEIJING – Hafla ya kutunuku tuzo imefanyika siku ya Jumapili mjini Beijing kwa ajili ya kuwasifu walimu wa mfano wa kuigwa na makundi na taasisi bora katika sekta ya elimu ya China wakati Siku ya Walimu ya China ya Tarehe 10, Septemba inawadia, ambapo walimu jumla ya 716 wametunukiwa na kusifiwa kuwa walimu wa mfano wa kuigwa wa kitaifa, 895 wametunukiwa na kusifiwa kuwa walimu bora wa kitaifa, na watu wengine 179 wametunukiwa kwa kazi yao nzuri katika mfumo wa elimu nchini humo.
Pia, taasisi 585 zimepongezwa kwa kazi nzuri katika elimu.
Siku ya Walimu mwaka huu ni Siku ya 40 ya Walimu ya China.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma