超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Wafanyakazi wa mwitikio wa hali ya dharura wakarabati njia za usambazaji umeme Kusini mwa China baada ya Kimbunga Kikubwa Yagi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2024
Wafanyakazi wa mwitikio wa hali ya dharura wakarabati njia za usambazaji umeme Kusini mwa China baada ya Kimbunga Kikubwa Yagi
Mfanyakazi kutoka kampuni ya umeme akikarabati njia na vifaa vya kusambaza umeme katika Wilaya ya Chengmai, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Septemba 9, 2024. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

Wafanyakazi wa mwitikio wa hali ya dharura wako na pilika nyingi za kazi wakikarabati njia na vifaa vya usambazaji umeme katika Wilaya ya Chengmai baada ya Kimbunga Kikubwa Yagi kutokea huko, ambacho ni kimbunga kikali zaidi cha majira ya mpukutiko kutua China tokea Mwaka 1949, kuukumba Mkoa wa Hainan siku ya Ijumaa, wiki iliyopita.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha