超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Kumbukumbu za miaka 93 ya Tukio la Septemba 18 zafanyika Shenyang, Mkoa wa Liaoning wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
Kumbukumbu za miaka 93 ya Tukio la Septemba 18 zafanyika Shenyang, Mkoa wa Liaoning wa China
Picha hii ikionyesha hafla ya kukumbuka Tukio la Septemba 18 katika Jumba la Makumbusho ya Historia ya 9.18 huko Shenyang, mji mkuu wa Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China, Septemba 18, 2024. (Xinhua/Pan Yulong)

Hafla ya kukumbuka miaka 93 tangu kutokea Tukio la Septemba 18 Mwaka 1931 imefanyika katika Jumba la Makumbusho ya Historia ya 9.18 huko Shenyang, mji mkuu wa Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China siku ya Jumatano, katika tukio hilo wanajeshi wa Japan walianza kufanya uvamizi wa kumwaga damu dhidi ya China.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha