超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Tasnia?Maalum za?Milimani Zawezesha Wanakijiji?kupata Ustawi?wa Pamoja

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2024
Tasnia?Maalum za?Milimani Zawezesha Wanakijiji?kupata Ustawi?wa Pamoja
Wafugaji wakilisha kuku wa kujichunga wenyewe katika maeneo ya wazi kwenye banda la kuku la kiikolojia katika msitu wa Mji mdogo wa Lingbei, Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, China, Septemba 19. (Xinhua/Xu Yu)

Mji mdogo wa Lingbei wa Mji wa Zhuji katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China uko maeneo ya mbali milimani. Katika miaka ya hivi karibuni, mji huo mdogo umekuwa ukitegemea sifa nzuri za mazingira yake ya asili kuendeleza tasnia maalum ya ufugaji wa kiikolojia wa kuku wa kienyeji na tasnia ya nyama ya kuku iliyobanikwa na chumvi, na kujenga mnyororo fungamanishi wa viwanda wa "ufugaji wa kiikolojia + uzalishaji wa tija + usimamizi wa pamoja + utangazaji wa chapa".

Jumla ya mapato ya mji huo mdogo yanayotokana na mauzo ya kila mwaka imefikia zaidi ya Yuan 600,000, ukitumia vema tasnia maalum za sehemu husika kutoa fursa za ajira na ujasirimali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha