超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Teknolojia za kisasa zaidi na bidhaa za NEV zaonyeshwa mkoani Hainan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2024
Teknolojia za kisasa zaidi na bidhaa za NEV zaonyeshwa mkoani Hainan, China
Picha hii iliyopigwa Septemba 28, 2024 kwenye maonyesho ya teknolojia za kisasa zaidi na bidhaa za magari yanayotumia nishati mpya (NEV) mjini Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China.

Kampuni zaidi ya 30 za Magari yanayotumia Nishati Mpya (NEV) zimeonyesha magari yao yanayotumia nishati mpya, betri na teknolojia zilizounganishwa kwa akili mnemba kwenye maonyesho ya teknolojia za kisasa zaidi na bidhaa za magari yanayotumia nishati mpya (NEV) huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha