Lugha Nyingine
Utalii wastawi kote nchini China wakati wa likizo ya Siku ya Taifa (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 06, 2024
Watalii wakifurahia kwenye mkahawa wa wazi katika Eneo la Pinggu la Beijing, mji mkuu wa China, Oktoba 2, 2024. (Xinhua/Ren Chao) |
Kipindi cha likizo ya Siku ya Taifa ya China, ambacho kilianzia Oktoba 1 na kinatarajiwa kufikia tamati Oktoba 7 mwaka huu, ni msimu wa pilika nyingi za watu kusafiri na kufanya utalii nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma