超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Wafanyakazi wakishughulika kujenga Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki wakati wa likizo ya Sikukuu ya Taifa ya China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2024
Wafanyakazi wakishughulika kujenga Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki wakati wa likizo ya Sikukuu ya Taifa ya China
Wafanyakazi wa ujenzi wakifanya kazi kwenye eneo la ujenzi wa Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki na kituo chake jumuishi cha usafiri katika Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China, tarehe 6 Oktoba 2024. (Xinhua/Wang Quanchao)

Wafanyakazi wakishughulika kujenga Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki wakati wa likizo ya Sikukuu ya Taifa ya China ambayo kwa kawaida Wachina hupumzika, lakini kutokana na stesheni hiyo kupangwa kuanza kufanya kazi Mwaka 2025 wafanyakazi hao wameendelea kufanya kazi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha