Lugha Nyingine
Daraja Kuu la Mto Manjano la Wuhai, Kaskazini mwa China launganishwa pamoja
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2024
Picha iliyopigwa kwa droni ikionyesha eneo la ujenzi wa daraja kuu la Mto Manjano la Wuhai katika Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Lian Zhen) |
Daraja Kuu la Mto Manjano la Wuhai Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China, ambalo ni sehemu ya reli ya mwendo kasi ya Baotou-Yinchuan, limeunganishwa pamoja siku ya Jumatano.
Ikiwa na muundo wa treni kuendeshwa kwa kasi ya kilomita 250 kwa saa, reli hiyo ya mwendo kasi ya Baotou-Yinchuan ni sehemu muhimu ya njia kiunganishi ya mlalo ya Beijing-Lanzhou katika mtandao wa reli za mwendo kasi wa nchi nzima ya China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma