超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Maonyesho ya Hazina za Ngazi ya Kitaifa za Picha?za Uchoraji?na Sanaa za Maandiko ya Kichina yafanyika katika Jumba la Mashariki la Makumbusho la Shanghai, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2024
Maonyesho ya Hazina za Ngazi ya Kitaifa za Picha?za Uchoraji?na Sanaa za Maandiko ya Kichina yafanyika katika Jumba la Mashariki la Makumbusho la Shanghai, China
Wakazi wa Shanghai wakitazama picha zilizochorwa na mchoraji Sun Wei wa Enzi ya Tang ya China katika Jumba la maonesho ya picha za uchoraji za enzi zote za China katika Jumba kuu la makumbusho la Shanghai Novemba 13, 2024.

Novemba 13, 2024, Jumba la maonesho ya picha za uchoraji za enzi zote za China na Jumba la maonesho ya Sanaa za maandiko ya lugha ya Kichina katika Jumba kuu la Mashariki la Makumbusho la Shanghai yalifunguliwa rasmi kwa umma, ambapo zimeoneshwa hazina nyingi za ngazi ya kitaifa za picha za uchoraji na Sanaa za maandiko ya Kichina, na kazi bora za wasanii maarufu ambazo hazijaonyeshwa hadharani kwa miaka mingi, na kuvutia watu wengi kuzitembelea.

(Picha na Wang Chu/vip.people.com.cn)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha